EPUKA UTAPELI. LINDA MUAMALA WAKO.

Tumia Zebest kuratibu miamala ya bidhaa na huduma kwa hatua zilizo wazi.

Watu wawili wakibishana kuhusu kutuma mzigo au kutuma hela kwanza, hali inayosaidiwa na Linda Muamala ya Zebest.

LINDA MUAMALA

Ratibu muamala wa bidhaa au huduma kwa hatua zinazoeleweka.

MADUKA YETU

Gundua au tangaza bidhaa kupitia maduka yaliyopo Zebest.

DELIVERY

Pata delivery agent anayehudumia eneo lako.

JINSI INAVYOFANYA KAZI

1

Chagua

Chagua unachotaka kufanya

2

Jaza

Jaza taarifa muhimu

3

Fuata

Fuata hatua hadi kukamilika

Zebest yote ipo ndani ya App.

Pakua App na uanze kutumia huduma za Zebest.

QR code ya kupakua Zebest App PAKUA ZEBEST

Pakua Zebest App kutoka kwenye tovuti hii rasmi pekee.