Jinsi Ya Kuepuka Utapeli Wa Mtandaoni
Utapeli wa mtandaoni mara nyingi hutokea kwa sababu ya tamaa ya kupata bidhaa au huduma za thamani kwa bei isiyo ya kawaida, kuamini taarifa kutoka vyanzo bandia, kufanya maamuzi kwa haraka, na kutothibitisha taarifa kabla ya kutuma fedha. Ili kujilinda, ni muhimu kuchunguza chanzo cha taarifa, kuthibitisha uhalali wa muuzaji au huduma, kutokubali kushinikiz
Na Zebest