ZEBEST

Sera ya Faragha

Zebest hulinda taarifa za watumiaji katika huduma zake, ikiwemo ZEBEST BUSINESS na huduma za ulinzi wa miamala, malipo, payout, dispute na support.

Taarifa tunazokusanya

Matumizi ya taarifa

Tunatumia taarifa kuthibitisha akaunti, kuendesha features za biashara na miamala, kutengeneza reports/receipts, kuthibitisha permissions na attendance, kuzuia udanganyifu, kutatua disputes, kutoa support, kutuma notifications na kutimiza wajibu wa audit, fedha au sheria unaotumika. Hatuuzi taarifa binafsi na hatutumii advertising ID kwa matangazo.

Watoa huduma na access ya biashara

Taarifa zinaweza kuchakatwa na watoa huduma wa cloud infrastructure, authentication, database, storage, notifications, location/maps, communications au payments pale feature husika inahitaji hivyo. Kwa ZEBEST BUSINESS, watumiaji wa biashara wenye roles na permissions zinazofaa wanaweza kufikia rekodi zinazohusiana na kazi zao. Tunashiriki kiwango kinachohitajika tu kutoa, kulinda au kutimiza huduma.

Uhifadhi na usalama

Tunatumia authentication, permissions, session security na audit logging kulinda taarifa. Media za dispute/support zilizofungwa zinaweza kuondolewa kwa retention policy husika. Transaction, accounting, payroll, attendance, dispute, security na audit evidence zinaweza kuhifadhiwa pale zinahitajika kwa uhasibu, continuity, kuzuia udanganyifu, usalama au wajibu wa kisheria. Kwa ZEBEST BUSINESS, ombi la Owner la kufuta biashara/akaunti hupangwa siku 30 mbele na linaweza kughairiwa kabla ya tarehe ya kufutwa; immutable financial/legal/audit evidence haifutwi kwa cascade.

Kufuta akaunti na data

Kwa huduma za kawaida za Zebest unaweza kutumia ukurasa wa kufuta akaunti. Kwa ZEBEST BUSINESS, tumia ZEBEST BUSINESS Account & Data Deletion; Root Owner hutumia canonical Business deletion flow yenye siku 30 za cooling-off/recovery. Data binafsi isiyohitajika tena hufutwa au kupunguzwa, huku records za fedha, audit, usalama au sheria zinazotakiwa kuhifadhiwa zikibaki kwa retention-safe form.

Mawasiliano ya faragha

Ukiweza kuingia, tumia Help Center ndani ya Zebest. Kama huwezi kuingia, tuma swali hapa: